Kituo cha Msaada
Tukusaidie nini leo?
Miongozo ya hatua kwa hatua ya kuunda tukio, kutuma mialiko, kupokea michango na kuwapokea wageni wako.
/
Watu hutafuta:
Makala zote
Chagua mada
Kuanza
Akaunti, tukio lako la kwanza, app na mipangilio.
Kadi na mialiko
Buni kadi, chagua template na tuma kwa WhatsApp au SMS.
- Kutengeneza kadi ya mwaliko
- Template za ujumbe wa WhatsApp
- Tuma mialiko kwa WhatsApp na SMS
- Tatua mialiko isiyofika
Wageni na RSVP
Orodha ya wageni, majibu yao na bot ya WhatsApp.
Malipo na fedha
Salio la pochi, michango na zawadi.
Siku ya tukio
Mapokezi kwa QR, picha za wageni na ripoti.
Kituo cha Msaada
Yanayosomwa zaidi
- Kuanza kutumia SherekoIngia kwa namba yako ya simu, unda tukio lako la kwanza, ongeza wageni na utume mialiko binafsi ya WhatsApp ndani ya dakika chache.
- Tuma mialiko kwa WhatsApp na SMSChapisha kadi, chagua wageni na template, hakiki gharama, kisha tuma mialiko binafsi kwa WhatsApp, SMS au zote mbili.
- Ongeza salio kwenye pochi yakoOngeza salio la kutuma kwa M-Pesa, Airtel Money, HaloPesa, Mixx by Yas au kadi ya benki, ona ada kabla ya kulipa, na tatua malipo yaliyokwama.
- Tatua mialiko isiyofikaMaana ya kila hali ya uwasilishaji, kwa nini WhatsApp wakati mwingine inazuia kadi, na jinsi ya kutuma tena kwa WhatsApp au SMS.
- Kusanya michangoWasha michango, weka lengo, wageni walipe kwa pesa ya simu au kadi kupitia kiungo chao binafsi, weka malipo ya taslimu na toa pesa ulizokusanya.
- Wapokee wageni mlangoni (Mapokezi)Washa mapokezi, wape wahudumu PIN ya mlangoni, na waingize wageni kwa kuskani QR ya kadi zao au kutafuta jina.
Makala zote
Kadi na mialiko
Wageni na RSVP
Bado unahitaji msaada?
Timu yetu inajibu WhatsApp na barua pepe, kwa kawaida ndani ya saa chache mchana.